Native Bible

Job 13:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikieni sasa hoja yangu; sikilizeni kusihi kwangu.

Job 13:6 in English

Job 13:6 · Berean Standard Bible

Hear now my argument, and listen to the plea of my lips.

Context

4Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! 5Laiti wote mngenyamaza kimya! Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. 6Sikieni sasa hoja yangu; sikilizeni kusihi kwangu. 7Je, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu? Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake? 8Mtamwonyesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.