Ayubu 13:4
Job 13:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote!
Job 13:4 in English
Job 13:4 · Berean Standard Bible
You, however, smear with lies; you are all worthless physicians.
Context
2Hayo mnayoyajua mimi pia ninayajua;
mimi si mtu duni kuliko ninyi. 3Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi
na kuhojiana shauri langu na Mungu. 4Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo;
ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! 5Laiti wote mngenyamaza kimya!
Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. 6Sikieni sasa hoja yangu;
sikilizeni kusihi kwangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.