Native Bible

Job 13:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hayo mnayoyajua mimi pia ninayajua; mimi si mtu duni kuliko ninyi.

Job 13:2 in English

Job 13:2 · Berean Standard Bible

What you know, I also know; I am not inferior to you.

Context

1“Macho yangu yameona hili lote, masikio yangu yamesikia na kulielewa. 2Hayo mnayoyajua mimi pia ninayajua; mimi si mtu duni kuliko ninyi. 3Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi na kuhojiana shauri langu na Mungu. 4Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.