Native Bible

Job 13:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi na kuhojiana shauri langu na Mungu.

Job 13:3 in English

Job 13:3 · Berean Standard Bible

Yet I desire to speak to the Almighty and argue my case before God.

Context

1“Macho yangu yameona hili lote, masikio yangu yamesikia na kulielewa. 2Hayo mnayoyajua mimi pia ninayajua; mimi si mtu duni kuliko ninyi. 3Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi na kuhojiana shauri langu na Mungu. 4Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! 5Laiti wote mngenyamaza kimya! Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.