Native Bible

Job 13:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Laiti wote mngenyamaza kimya! Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima.

Job 13:5 in English

Job 13:5 · Berean Standard Bible

If only you would remain silent; for that would be your wisdom!

Context

3Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi na kuhojiana shauri langu na Mungu. 4Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! 5Laiti wote mngenyamaza kimya! Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. 6Sikieni sasa hoja yangu; sikilizeni kusihi kwangu. 7Je, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu? Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.