Native Bible

Job 13:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, ingekuwa vyema Mungu akiwahoji ninyi? Je, mngeweza kumdanganya kama ambavyo mngeweza kuwadanganya wanadamu?

Job 13:9 in English

Job 13:9 · Berean Standard Bible

Would it be well when He examined you? Could you deceive Him like a man?

Context

7Je, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu? Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake? 8Mtamwonyesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake? 9Je, ingekuwa vyema Mungu akiwahoji ninyi? Je, mngeweza kumdanganya kama ambavyo mngeweza kuwadanganya wanadamu? 10Hakika angewakemea kama mkiwapendelea watu kwa siri. 11Je, huo ukuu wake haungewatisha ninyi? Je, hofu yake isingewaangukia ninyi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.