Ayubu 13:12
Job 13:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maneno yenu ni mithali za majivu; utetezi wenu ni ngome za udongo wa mfinyanzi.
Job 13:12 in English
Job 13:12 · Berean Standard Bible
Your maxims are proverbs of ashes; your defenses are defenses of clay.
Context
10Hakika angewakemea
kama mkiwapendelea watu kwa siri. 11Je, huo ukuu wake haungewatisha ninyi?
Je, hofu yake isingewaangukia ninyi? 12Maneno yenu ni mithali za majivu;
utetezi wenu ni ngome za udongo wa mfinyanzi. 13“Nyamazeni kimya nipate kusema;
kisha na yanipate yatakayonipata. 14Kwa nini nijiweke mwenyewe kwenye hatari
na kuyaweka maisha yangu mikononi mwangu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.