Ayubu 13:14
Job 13:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa nini nijiweke mwenyewe kwenye hatari na kuyaweka maisha yangu mikononi mwangu?
Job 13:14 in English
Job 13:14 · Berean Standard Bible
Why do I put myself at risk * and take my life in my own hands?
Context
12Maneno yenu ni mithali za majivu;
utetezi wenu ni ngome za udongo wa mfinyanzi. 13“Nyamazeni kimya nipate kusema;
kisha na yanipate yatakayonipata. 14Kwa nini nijiweke mwenyewe kwenye hatari
na kuyaweka maisha yangu mikononi mwangu? 15Ingawa ataniua, bado nitamtumaini;
hakika nitazitetea njia zangu mbele zake. 16Naam, hili litanigeukia kuwa wokovu wangu,
kwa maana hakuna mtu asiyemcha Mungu
atakayethubutu kuja mbele yake!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.