Native Bible

Job 11:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini? Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu: wewe waweza kujua nini?

Job 11:8 in English

Job 11:8 · Berean Standard Bible

They are higher than the heavens—what can you do? They are deeper than Sheol—what can you know?

Context

6naye akufunulie siri za hekima, kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako. 7“Je, waweza kujua siri za Mungu? Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 8Ni juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini? Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu: wewe waweza kujua nini? 9Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, nacho ni kipana kuliko bahari. 10“Kama akija na kukufunga gerezani, na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.