Ayubu 11:9
Job 11:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, nacho ni kipana kuliko bahari.
Job 11:9 in English
Job 11:9 · Berean Standard Bible
Their measure is longer than the earth and wider than the sea.
Context
7“Je, waweza kujua siri za Mungu?
Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 8Ni juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini?
Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu:
wewe waweza kujua nini? 9Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia,
nacho ni kipana kuliko bahari. 10“Kama akija na kukufunga gerezani,
na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga? 11Hakika anawatambua watu wadanganyifu;
naye aonapo uovu, je, haangalii?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.