Native Bible

Job 11:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, waweza kujua siri za Mungu? Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi?

Job 11:7 in English

Job 11:7 · Berean Standard Bible

Can you fathom the deep things of God or discover the limits of the Almighty?

Context

5Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, 6naye akufunulie siri za hekima, kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako. 7“Je, waweza kujua siri za Mungu? Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 8Ni juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini? Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu: wewe waweza kujua nini? 9Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, nacho ni kipana kuliko bahari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.