Native Bible

Job 11:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

naye akufunulie siri za hekima, kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako.

Job 11:6 in English

Job 11:6 · Berean Standard Bible

and disclose to you the secrets of wisdom, for true wisdom has two sides. Know then that God exacts from you less than your iniquity deserves.

Context

4Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili nami ni safi mbele zako.’ 5Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, 6naye akufunulie siri za hekima, kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako. 7“Je, waweza kujua siri za Mungu? Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 8Ni juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini? Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu: wewe waweza kujua nini?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.