Native Bible

Job 11:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili nami ni safi mbele zako.’

Job 11:4 in English

Job 11:4 · Berean Standard Bible

You have said, ‘My doctrine is sound, and I am pure in Your sight.’

Context

2“Je, maneno haya yote yapite bila kujibiwa? Je, huyu mnenaji athibitishwe kuwa na haki? 3Je, maneno yako ya upuzi yawafanye watu wanyamaze kimya? Je, mtu asikukemee unapofanya dhihaka? 4Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili nami ni safi mbele zako.’ 5Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, 6naye akufunulie siri za hekima, kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.