Native Bible

Job 11:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, maneno haya yote yapite bila kujibiwa? Je, huyu mnenaji athibitishwe kuwa na haki?

Job 11:2 in English

Job 11:2 · Berean Standard Bible

“Should this stream of words go unanswered and such a speaker be vindicated?

Context

1Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu: 2“Je, maneno haya yote yapite bila kujibiwa? Je, huyu mnenaji athibitishwe kuwa na haki? 3Je, maneno yako ya upuzi yawafanye watu wanyamaze kimya? Je, mtu asikukemee unapofanya dhihaka? 4Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili nami ni safi mbele zako.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.