Native Bible

Job 11:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, kwamba angefungua midomo yake dhidi yako,

Job 11:5 in English

Job 11:5 · Berean Standard Bible

But if only God would speak and open His lips against you,

Context

3Je, maneno yako ya upuzi yawafanye watu wanyamaze kimya? Je, mtu asikukemee unapofanya dhihaka? 4Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili nami ni safi mbele zako.’ 5Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, 6naye akufunulie siri za hekima, kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako. 7“Je, waweza kujua siri za Mungu? Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.