Ayubu 10:6
Job 10:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili kwamba utafute makosa yangu na kuichunguza dhambi yangu;
Job 10:6 in English
Job 10:6 · Berean Standard Bible
that You should seek my iniquity and search out my sin—
Context
4Je, wewe una macho ya kimwili?
Je, wewe huona kama mwanadamu aonavyo? 5Je, siku zako ni kama zile za mwanadamu,
au miaka yako ni kama ile ya mtu, 6ili kwamba utafute makosa yangu
na kuichunguza dhambi yangu; 7ingawa wajua kuwa mimi sina hatia,
na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako? 8“Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya.
Je, sasa utageuka na kuniangamiza?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.