Ayubu 10:4
Job 10:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, wewe una macho ya kimwili? Je, wewe huona kama mwanadamu aonavyo?
Job 10:4 in English
Job 10:4 · Berean Standard Bible
Do You have eyes of flesh? Do You see as man sees?
Context
2Nitamwambia Mungu: Usinihukumu,
bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu. 3Je, inakupendeza wewe kunionea,
kuikataa kwa dharau kazi ya mikono yako,
huku wewe ukitabasamu juu ya mipango ya waovu? 4Je, wewe una macho ya kimwili?
Je, wewe huona kama mwanadamu aonavyo? 5Je, siku zako ni kama zile za mwanadamu,
au miaka yako ni kama ile ya mtu, 6ili kwamba utafute makosa yangu
na kuichunguza dhambi yangu;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.