Native Bible

Job 10:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, siku zako ni kama zile za mwanadamu, au miaka yako ni kama ile ya mtu,

Job 10:5 in English

Job 10:5 · Berean Standard Bible

Are Your days like those of a mortal, or Your years like those of a man,

Context

3Je, inakupendeza wewe kunionea, kuikataa kwa dharau kazi ya mikono yako, huku wewe ukitabasamu juu ya mipango ya waovu? 4Je, wewe una macho ya kimwili? Je, wewe huona kama mwanadamu aonavyo? 5Je, siku zako ni kama zile za mwanadamu, au miaka yako ni kama ile ya mtu, 6ili kwamba utafute makosa yangu na kuichunguza dhambi yangu; 7ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.