Ayubu 10:7
Job 10:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako?
Job 10:7 in English
Job 10:7 · Berean Standard Bible
though You know that I am not guilty, and there is no deliverance from Your hand?
Context
5Je, siku zako ni kama zile za mwanadamu,
au miaka yako ni kama ile ya mtu, 6ili kwamba utafute makosa yangu
na kuichunguza dhambi yangu; 7ingawa wajua kuwa mimi sina hatia,
na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako? 8“Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya.
Je, sasa utageuka na kuniangamiza? 9Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi.
Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.