Native Bible

Job 10:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya. Je, sasa utageuka na kuniangamiza?

Job 10:8 in English

Job 10:8 · Berean Standard Bible

Your hands shaped me and altogether formed me. Would You now turn and destroy me?

Context

6ili kwamba utafute makosa yangu na kuichunguza dhambi yangu; 7ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako? 8“Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya. Je, sasa utageuka na kuniangamiza? 9Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena? 10Je, wewe hukunimimina mimi kama maziwa, na kunigandisha kama jibini,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.