Native Bible

Job 10:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena?

Job 10:9 in English

Job 10:9 · Berean Standard Bible

Please remember that You molded me like clay. Would You now return me to dust?

Context

7ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako? 8“Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya. Je, sasa utageuka na kuniangamiza? 9Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena? 10Je, wewe hukunimimina mimi kama maziwa, na kunigandisha kama jibini, 11ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.