Native Bible

Job 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa?

Job 10:11 in English

Job 10:11 · Berean Standard Bible

You clothed me with skin and flesh, and knit me together with bones and sinews.

Context

9Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena? 10Je, wewe hukunimimina mimi kama maziwa, na kunigandisha kama jibini, 11ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa? 12Umenipa uhai na kunitendea wema, katika uangalizi wako umeilinda roho yangu. 13“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako, nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.