Ayubu 10:13
Job 10:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako, nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako:
Job 10:13 in English
Job 10:13 · Berean Standard Bible
Yet You concealed these things in Your heart, and I know that this was in Your mind:
Context
11ukanivika ngozi na nyama,
na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa? 12Umenipa uhai na kunitendea wema,
katika uangalizi wako umeilinda roho yangu. 13“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako,
nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako: 14Kama nilifanya dhambi, ungekuwa umeniona,
wala usingeacha kosa langu lipite bila kuadhibiwa. 15Kama nina hatia, ole wangu!
Hata kama ningekuwa sina hatia,
siwezi kukiinua kichwa changu,
kwa kuwa nimejawa na aibu,
na kuzama katika mateso yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.