Native Bible

Job 10:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umenipa uhai na kunitendea wema, katika uangalizi wako umeilinda roho yangu.

Job 10:12 in English

Job 10:12 · Berean Standard Bible

You have granted me life and loving devotion,* and Your care has preserved my spirit.

Context

10Je, wewe hukunimimina mimi kama maziwa, na kunigandisha kama jibini, 11ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa? 12Umenipa uhai na kunitendea wema, katika uangalizi wako umeilinda roho yangu. 13“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako, nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako: 14Kama nilifanya dhambi, ungekuwa umeniona, wala usingeacha kosa langu lipite bila kuadhibiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.