Yohana 7:46
John 7:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.”
John 7:46 in English
John 7:46 · Berean Standard Bible
“Never has anyone spoken like this man!” the officers answered.
Context
44Baadhi yao walitaka kumkamata, lakini hakuna aliyethubutu kumgusa. 45Hatimaye wale walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliokuwa wamewatuma ili kumkamata Yesu, wakaulizwa, “Mbona hamkumkamata?” 46Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.” 47Mafarisayo wakajibu, “Je, nanyi pia mmedanganyika? 48Je, kuna kiongozi yeyote au mmoja wa Mafarisayo ambaye amemwamini?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.