Yohana 7:44
John 7:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baadhi yao walitaka kumkamata, lakini hakuna aliyethubutu kumgusa.
John 7:44 in English
John 7:44 · Berean Standard Bible
Some of them wanted to seize Him, but no one laid a hand on Him.
Context
42Je, Maandiko hayasemi kwamba Kristo atakuja kutoka jamaa ya Daudi na kutoka Bethlehemu, mji alioishi Daudi?” 43Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Yesu. 44Baadhi yao walitaka kumkamata, lakini hakuna aliyethubutu kumgusa. 45Hatimaye wale walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliokuwa wamewatuma ili kumkamata Yesu, wakaulizwa, “Mbona hamkumkamata?” 46Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.