Native Bible

John 7:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hatimaye wale walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliokuwa wamewatuma ili kumkamata Yesu, wakaulizwa, “Mbona hamkumkamata?”

John 7:45 in English

John 7:45 · Berean Standard Bible

Then the officers returned to the chief priests and Pharisees, who asked them, “Why didn’t you bring Him in?”

Context

43Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Yesu. 44Baadhi yao walitaka kumkamata, lakini hakuna aliyethubutu kumgusa. 45Hatimaye wale walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliokuwa wamewatuma ili kumkamata Yesu, wakaulizwa, “Mbona hamkumkamata?” 46Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.” 47Mafarisayo wakajibu, “Je, nanyi pia mmedanganyika?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.