Yohana 7:47
John 7:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mafarisayo wakajibu, “Je, nanyi pia mmedanganyika?
John 7:47 in English
John 7:47 · Berean Standard Bible
“Have you also been deceived?” replied the Pharisees.
Context
45Hatimaye wale walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliokuwa wamewatuma ili kumkamata Yesu, wakaulizwa, “Mbona hamkumkamata?” 46Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.” 47Mafarisayo wakajibu, “Je, nanyi pia mmedanganyika? 48Je, kuna kiongozi yeyote au mmoja wa Mafarisayo ambaye amemwamini? 49Lakini huu umati wa watu wasiojua Sheria ya Mose, wamelaaniwa.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.