Native Bible

John 7:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, kuna kiongozi yeyote au mmoja wa Mafarisayo ambaye amemwamini?

John 7:48 in English

John 7:48 · Berean Standard Bible

“Have any of the rulers or Pharisees believed in Him?

Context

46Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.” 47Mafarisayo wakajibu, “Je, nanyi pia mmedanganyika? 48Je, kuna kiongozi yeyote au mmoja wa Mafarisayo ambaye amemwamini? 49Lakini huu umati wa watu wasiojua Sheria ya Mose, wamelaaniwa.” 50Ndipo Nikodemo, yule aliyekuwa amemwendea Yesu siku moja usiku, ambaye alikuwa mmoja wao akauliza,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.