Native Bible

John 7:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini huu umati wa watu wasiojua Sheria ya Mose, wamelaaniwa.”

John 7:49 in English

John 7:49 · Berean Standard Bible

But this crowd that does not know the law, they are under a curse.”

Context

47Mafarisayo wakajibu, “Je, nanyi pia mmedanganyika? 48Je, kuna kiongozi yeyote au mmoja wa Mafarisayo ambaye amemwamini? 49Lakini huu umati wa watu wasiojua Sheria ya Mose, wamelaaniwa.” 50Ndipo Nikodemo, yule aliyekuwa amemwendea Yesu siku moja usiku, ambaye alikuwa mmoja wao akauliza, 51“Je, sheria zetu zinaturuhusu kumhukumu mtu kabla ya kumsikiliza na kufahamu alilotenda?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.