Native Bible

John 7:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, sheria zetu zinaturuhusu kumhukumu mtu kabla ya kumsikiliza na kufahamu alilotenda?”

John 7:51 in English

John 7:51 · Berean Standard Bible

“Does our law convict a man without first hearing from him to determine what he has done?”

Context

49Lakini huu umati wa watu wasiojua Sheria ya Mose, wamelaaniwa.” 50Ndipo Nikodemo, yule aliyekuwa amemwendea Yesu siku moja usiku, ambaye alikuwa mmoja wao akauliza, 51“Je, sheria zetu zinaturuhusu kumhukumu mtu kabla ya kumsikiliza na kufahamu alilotenda?” 52Wakamjibu, “Je, wewe pia unatoka Galilaya? Chunguza nawe utaona kwamba hakuna nabii atokae Galilaya!” [ 53Kisha wakaondoka, kila mtu akarudi nyumbani kwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.