Native Bible

John 7:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha wakaondoka, kila mtu akarudi nyumbani kwake.

John 7:53 in English

John 7:53 · Berean Standard Bible

Then each went to his own home.

Context

51“Je, sheria zetu zinaturuhusu kumhukumu mtu kabla ya kumsikiliza na kufahamu alilotenda?” 52Wakamjibu, “Je, wewe pia unatoka Galilaya? Chunguza nawe utaona kwamba hakuna nabii atokae Galilaya!” [ 53Kisha wakaondoka, kila mtu akarudi nyumbani kwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.