Native Bible

John 7:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, Maandiko hayasemi kwamba Kristo atakuja kutoka jamaa ya Daudi na kutoka Bethlehemu, mji alioishi Daudi?”

John 7:42 in English

John 7:42 · Berean Standard Bible

Doesn’t the Scripture say that the Christ will come from the line of David and from Bethlehem, the village where David lived?*”

Context

40Waliposikia maneno hayo, baadhi ya watu miongoni mwa ule umati wakasema, “Hakika huyu ndiye yule Nabii.” 41Wengine wakasema, “Huyu ndiye Kristo!” Lakini wengine wakauliza, “Je, Kristo kwao ni Galilaya? 42Je, Maandiko hayasemi kwamba Kristo atakuja kutoka jamaa ya Daudi na kutoka Bethlehemu, mji alioishi Daudi?” 43Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Yesu. 44Baadhi yao walitaka kumkamata, lakini hakuna aliyethubutu kumgusa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.