Native Bible

John 6:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Yesu akapanda mlimani akaketi huko pamoja na wanafunzi wake.

John 6:3 in English

John 6:3 · Berean Standard Bible

Then Jesus went up on the mountain and sat down with His disciples.

Context

1Baada ya haya, Yesu alikwenda ngʼambo ya Bahari ya Galilaya, ambayo pia huitwa Bahari ya Tiberia. 2Umati mkubwa wa watu uliendelea kumfuata, kwa sababu waliona ishara nyingi za miujiza alizofanya kwa wagonjwa. 3Kisha Yesu akapanda mlimani akaketi huko pamoja na wanafunzi wake. 4Pasaka ya Wayahudi ilikuwa imekaribia. 5Yesu alipotazama na kuuona ule umati mkubwa wa watu ukimjia, akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ili watu hawa wale?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.