Yohana 6:4
John 6:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pasaka ya Wayahudi ilikuwa imekaribia.
John 6:4 in English
John 6:4 · Berean Standard Bible
Now the Jewish Feast of the Passover was near.
Context
2Umati mkubwa wa watu uliendelea kumfuata, kwa sababu waliona ishara nyingi za miujiza alizofanya kwa wagonjwa. 3Kisha Yesu akapanda mlimani akaketi huko pamoja na wanafunzi wake. 4Pasaka ya Wayahudi ilikuwa imekaribia. 5Yesu alipotazama na kuuona ule umati mkubwa wa watu ukimjia, akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ili watu hawa wale?” 6Aliuliza swali hili kumpima, kwa maana alishajua la kufanya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.