Native Bible

John 6:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alipotazama na kuuona ule umati mkubwa wa watu ukimjia, akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ili watu hawa wale?”

John 6:5 in English

John 6:5 · Berean Standard Bible

When Jesus looked up and saw a large crowd coming toward Him, He said to Philip, “Where can we buy bread for these people to eat?”

Context

3Kisha Yesu akapanda mlimani akaketi huko pamoja na wanafunzi wake. 4Pasaka ya Wayahudi ilikuwa imekaribia. 5Yesu alipotazama na kuuona ule umati mkubwa wa watu ukimjia, akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ili watu hawa wale?” 6Aliuliza swali hili kumpima, kwa maana alishajua la kufanya. 7Filipo akamjibu, “Hata fedha kiasi cha dinari mia mbili,* hazitoshi kununua mikate ya kuwapa watu hawa ili kila mtu apate kidogo.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.