Yohana 6:7
John 6:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Filipo akamjibu, “Hata fedha kiasi cha dinari mia mbili,* hazitoshi kununua mikate ya kuwapa watu hawa ili kila mtu apate kidogo.”
John 6:7 in English
John 6:7 · Berean Standard Bible
Philip answered, “Two hundred denarii * would not buy enough bread for each of them to have a small piece.”
Context
5Yesu alipotazama na kuuona ule umati mkubwa wa watu ukimjia, akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ili watu hawa wale?” 6Aliuliza swali hili kumpima, kwa maana alishajua la kufanya. 7Filipo akamjibu, “Hata fedha kiasi cha dinari mia mbili,* hazitoshi kununua mikate ya kuwapa watu hawa ili kila mtu apate kidogo.” 8Mmoja wa wanafunzi wake aitwaye Andrea, ndugu yake Simoni Petro, akamwambia, 9“Hapa kuna mvulana mmoja mwenye mikate mitano ya shayiri na samaki wawili wadogo. Lakini hivi vitatosha nini kwa umati huu wote?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.