Native Bible

John 6:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mmoja wa wanafunzi wake aitwaye Andrea, ndugu yake Simoni Petro, akamwambia,

John 6:8 in English

John 6:8 · Berean Standard Bible

One of His disciples, Andrew, Simon Peter’s brother, said to Him,

Context

6Aliuliza swali hili kumpima, kwa maana alishajua la kufanya. 7Filipo akamjibu, “Hata fedha kiasi cha dinari mia mbili,* hazitoshi kununua mikate ya kuwapa watu hawa ili kila mtu apate kidogo.” 8Mmoja wa wanafunzi wake aitwaye Andrea, ndugu yake Simoni Petro, akamwambia, 9“Hapa kuna mvulana mmoja mwenye mikate mitano ya shayiri na samaki wawili wadogo. Lakini hivi vitatosha nini kwa umati huu wote?” 10Yesu akasema, “Waketisheni watu chini.” Palikuwa na majani mengi katika eneo lile, nao watu wakaketi. Palikuwa na wanaume wapatao 5,000.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.