Native Bible

John 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya haya, Yesu alikwenda ngʼambo ya Bahari ya Galilaya, ambayo pia huitwa Bahari ya Tiberia.

John 6:1 in English

John 6:1 · Berean Standard Bible

After this, Jesus crossed to the other side of the Sea of Galilee (that is, the Sea of Tiberias).

Context

1Baada ya haya, Yesu alikwenda ngʼambo ya Bahari ya Galilaya, ambayo pia huitwa Bahari ya Tiberia. 2Umati mkubwa wa watu uliendelea kumfuata, kwa sababu waliona ishara nyingi za miujiza alizofanya kwa wagonjwa. 3Kisha Yesu akapanda mlimani akaketi huko pamoja na wanafunzi wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.