Yohana 4:32
John 4:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini yeye akawajibu, “Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkifahamu.”
John 4:32 in English
John 4:32 · Berean Standard Bible
But He told them, “I have food to eat that you know nothing about.”
Context
30Basi wakamiminika watu kutoka mjini wakamwendea Yesu. 31Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Rabi, kula angalau chochote.” 32Lakini yeye akawajibu, “Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkifahamu.” 33Basi wanafunzi wakaanza kuulizana, “Kuna mtu ambaye amemletea chakula?” 34Lakini Yesu akawajibu, “Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma na kuikamilisha kazi yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.