Native Bible

John 4:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi wakamiminika watu kutoka mjini wakamwendea Yesu.

John 4:30 in English

John 4:30 · Berean Standard Bible

So they left the town and made their way toward Jesus.

Context

28Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaambia watu, 29“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?”* 30Basi wakamiminika watu kutoka mjini wakamwendea Yesu. 31Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Rabi, kula angalau chochote.” 32Lakini yeye akawajibu, “Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkifahamu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.