Native Bible

John 4:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaambia watu,

John 4:28 in English

John 4:28 · Berean Standard Bible

Then the woman left her water jar, went back into the town, and said to the people,

Context

26Yesu akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.” 27Wakati huo wanafunzi wake wakarudi, wakashangaa sana kumwona akizungumza na mwanamke. Lakini hakuna aliyemuuliza, “Unataka nini kwake?” Au “Kwa nini unazungumza naye?” 28Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaambia watu, 29“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?”* 30Basi wakamiminika watu kutoka mjini wakamwendea Yesu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.