Native Bible

John 4:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?”*

John 4:29 in English

John 4:29 · Berean Standard Bible

“Come, see a man who told me everything I ever did. Could this be the Christ?”

Context

27Wakati huo wanafunzi wake wakarudi, wakashangaa sana kumwona akizungumza na mwanamke. Lakini hakuna aliyemuuliza, “Unataka nini kwake?” Au “Kwa nini unazungumza naye?” 28Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaambia watu, 29“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?”* 30Basi wakamiminika watu kutoka mjini wakamwendea Yesu. 31Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Rabi, kula angalau chochote.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.