Native Bible

John 4:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Rabi, kula angalau chochote.”

John 4:31 in English

John 4:31 · Berean Standard Bible

Meanwhile the disciples urged Him, “Rabbi, eat something.”

Context

29“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?”* 30Basi wakamiminika watu kutoka mjini wakamwendea Yesu. 31Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Rabi, kula angalau chochote.” 32Lakini yeye akawajibu, “Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkifahamu.” 33Basi wanafunzi wakaanza kuulizana, “Kuna mtu ambaye amemletea chakula?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.