Yohana 4:33
John 4:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi wanafunzi wakaanza kuulizana, “Kuna mtu ambaye amemletea chakula?”
John 4:33 in English
John 4:33 · Berean Standard Bible
So the disciples asked one another, “Could someone have brought Him food?”
Context
31Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Rabi, kula angalau chochote.” 32Lakini yeye akawajibu, “Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkifahamu.” 33Basi wanafunzi wakaanza kuulizana, “Kuna mtu ambaye amemletea chakula?” 34Lakini Yesu akawajibu, “Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma na kuikamilisha kazi yake. 35Je, ninyi hamsemi, ‘Bado miezi minne tuvune?’ Inueni macho yenu myaangalie mashamba jinsi mazao yalivyo tayari kuvunwa!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.