Yohana 4:34
John 4:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Yesu akawajibu, “Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma na kuikamilisha kazi yake.
John 4:34 in English
John 4:34 · Berean Standard Bible
Jesus explained, “My food is to do the will of Him who sent Me and to finish His work.
Context
32Lakini yeye akawajibu, “Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkifahamu.” 33Basi wanafunzi wakaanza kuulizana, “Kuna mtu ambaye amemletea chakula?” 34Lakini Yesu akawajibu, “Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma na kuikamilisha kazi yake. 35Je, ninyi hamsemi, ‘Bado miezi minne tuvune?’ Inueni macho yenu myaangalie mashamba jinsi mazao yalivyo tayari kuvunwa! 36Mvunaji tayari anapokea mshahara wake, naye anakusanya mazao kwa ajili ya uzima wa milele. Ili yeye apandaye na yeye avunaye wafurahi pamoja.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.