Native Bible

John 4:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.”

John 4:26 in English

John 4:26 · Berean Standard Bible

Jesus answered, “I who speak to you am He.”

Context

24Mungu ni Roho na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.” 25Yule mwanamke akamwambia, “Ninafahamu kwamba Masiya (aitwaye Kristo) anakuja. Yeye akija, atatueleza mambo yote.” 26Yesu akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.” 27Wakati huo wanafunzi wake wakarudi, wakashangaa sana kumwona akizungumza na mwanamke. Lakini hakuna aliyemuuliza, “Unataka nini kwake?” Au “Kwa nini unazungumza naye?” 28Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaambia watu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.