Yohana 4:24
John 4:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu ni Roho na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”
John 4:24 in English
John 4:24 · Berean Standard Bible
God is Spirit, and His worshipers must worship Him in spirit and in truth.”
Context
22Ninyi Wasamaria mnaabudu msichokijua. Sisi Wayahudi tunamwabudu Mungu tunayemjua kwa sababu wokovu unatoka kwa Wayahudi. 23Lakini saa yaja, tena ipo, ambapo wale waabuduo halisi, watamwabudu Baba katika roho na kweli. Watu wanaoabudu namna hii, ndio Baba anawatafuta. 24Mungu ni Roho na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.” 25Yule mwanamke akamwambia, “Ninafahamu kwamba Masiya (aitwaye Kristo) anakuja. Yeye akija, atatueleza mambo yote.” 26Yesu akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.