Native Bible

John 14:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?”

John 14:5 in English

John 14:5 · Berean Standard Bible

“Lord,” said Thomas, “we do not know where You are going, so how can we know the way?”

Context

3Nami nikienda na kuwaandalia makao, nitarudi tena na kuwachukua mkae pamoja nami, ili mahali nilipo, nanyi mpate kuwepo. 4Ninyi mnajua njia ya kufika ninakokwenda.” 5Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?” 6Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu. 7Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba pia. Tangu sasa, mnamjua Baba yangu, tena mmemwona.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.