Yohana 14:7
John 14:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba pia. Tangu sasa, mnamjua Baba yangu, tena mmemwona.”
John 14:7 in English
John 14:7 · Berean Standard Bible
If you had known Me, you would know My Father as well. From now on you do know Him and have seen Him.”
Context
5Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?” 6Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu. 7Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba pia. Tangu sasa, mnamjua Baba yangu, tena mmemwona.” 8Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba yako yatosha.” 9Yesu akamjibu, “Filipo, nimekaa nanyi muda huu wote hata usinijue? Mtu yeyote aliyeniona mimi, amemwona Baba. Sasa wawezaje kusema, ‘Tuonyeshe Baba’?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.